Vodafone 200 [VDF 200] Inawezekana kutumia mitandao yote

12/6/16



Vodafone 200 [VDF 200] Inawezekana kutumia mitandao yote, kwa sasa tumelejesha huduma ya kufungua simu aina ya VDF 200 kwa njia ya imei namba ya simu yako. Unachotakiwa kukifanya ni kuwasiliana nami kupitia:0766462878 au 0716542896, kisha tuma IMEI ya simu  utatumiwa namba za kuifanya simu ya VDF 200 kutumia laini ya mtandao wowote moja kwa moja. Kwa wale walio ndani ya manispaa ya Songea fika Soko Kuu ulizia kwa Kolimba au Kipande Fundi simu au Banda namba 54 upande wa mashariki mwa soko.Pia tunatengeneza simu za aina mbalimbali na kuuza Spea za simu na simu zilizotumika [Used] Karibu.
Share

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©