Kutokana na mazoea ya watumiaji wengi wa smartphone za android ya kureset au kuboot simu kwa nje kuwa njia maarufu sana ya kuondoa pin, pattern, n.k. Google wameamua kuweka njia ya kuzuia njia hiyo kutumika kinyume na melengo yao, baada ya kuweka mfumo wa ulinzi mpya ambao utakutaka kuweka barua pepe iliyokuwa inatumika na kifaa kabla ya kureset hivyo basi kama utakuwa umesahau hautaweza kutumia simu hiyo mpaka utakapo kumbuka barua pepe iliyokuwa inatumiaka awali na kifaa hicho.
Endapo umekutwa na tatizo hili wasiliana nami kupitia namba : 0766462878 au 0716542896 kwa msaada wa kuondoa Huduma hii.
No comments:
Post a Comment